KARIBU MSOMAJI WANGU NITAHAKIKISHA HAUPITWI NA CHOCHOTE DUNIANI KATIKA HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA MICHEZO NA BURUDANI PIA.
Jumanne, 11 Aprili 2017
Staa wa soka wa kimataifa wa Senegal anayeichezea Liverpool ya England Sadio Mane leo Jumanne ya April 11 2017 amefanyiwa upasuaji wa goti lake la kushoto.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni